Ufafanuzi wa ahadharu katika Kiswahili

ahadharu

nominoPlural ahadharu

kishairi
  • 1

    kishairi rangi ya kijani.

    ‘Si ya ahadharu , si ya ahamaru, hufanana na nuru, iwapo muwanga’

Asili

Kar

Matamshi

ahadharu

/ahaĆ°aru/