Ufafanuzi msingi wa ahali katika Kiswahili

: ahali1ahali2

ahali1 , ahli

nominoPlural ahali

 • 1

  ‘Ahali wangu ni mjamzito’
  mke

 • 2

Asili

Kar

Matamshi

ahali

/ahali/

Ufafanuzi msingi wa ahali katika Kiswahili

: ahali1ahali2

ahali2 , ahli

nominoPlural ahali

 • 1

  watu wa ukoo au familia moja k.v. ndugu.

  aila

 • 2

Asili

Kar

Matamshi

ahali

/ahali/