Ufafanuzi wa ahasi katika Kiswahili

ahasi, akhasi

kivumishi

  • 1

    -baya zaidi.

    ‘Yeye ni mbaya lakini baba yake ni ahasi’

Asili

Kar

Matamshi

ahasi

/ahasi/