Ufafanuzi wa aheri katika Kiswahili

aheri

nomino

  • 1

    hatua ya mwisho.

  • 2

    bei ya mwisho katika kupatana.

    ‘Aheri yako shilingi ngapi?’
    kipunguzo

Asili

Kar