Ufafanuzi wa ahidi katika Kiswahili

ahidi

kitenzi elekezi

  • 1

    kujipa sharti; toa ahadi.

    ‘Mwalimu ameahidi kutoa zawadi kwa mshindi’

Asili

Kar

Matamshi

ahidi

/ahidi/