Ufafanuzi wa aibu katika Kiswahili

aibu

nominoPlural aibu

  • 1

    jambo limvunjialo mtu heshima.

    fedheha, kinamasi, hizaya, tua, haya, soni, janaa, muazara, tahayarisha, izara, junaa

Asili

Kar

Matamshi

aibu

/ajibu/