Ufafanuzi wa aidha katika Kiswahili

aidha

kiunganishi

  • 1

    ‘Alizungumzia ufugaji wa kuku pamoja na ng’ombe wa maziwa’
    ‘Aidha aliwahamasisha waanzishe chama cha wafugaji’

Asili

Kar

Matamshi

aidha

/ajiða/