Ufafanuzi msingi wa aili katika Kiswahili

: aili1aili2

aili1

kitenzi elekezi

  • 1

    tia hatiani.

    shutumu, laumu, atibu, kengemeka

Asili

Kar

Matamshi

aili

/aIli/

Ufafanuzi msingi wa aili katika Kiswahili

: aili1aili2

aili2

nomino

Asili

Kar

Matamshi

aili

/aIli/