Ufafanuzi wa aisee! katika Kiswahili

aisee!

kiingizi

  • 1

    neno la kumfanya mtu asikilize habari unayotaka kumwambia.

    ohaa!, abaa!

Asili

Kng

Matamshi

aisee!

/ajisɛ:/