Ufafanuzi msingi wa ajari katika Kiswahili

: ajari1ajari2

ajari1

nominoPlural ajari

  • 1

    kazi ya ziada.

    ovataimu

Matamshi

ajari

/aʄari/

Ufafanuzi msingi wa ajari katika Kiswahili

: ajari1ajari2

ajari2

nominoPlural ajari

  • 1

    malipo kwa kazi ya ziada; malipo ya ovataimu.

    ovataimu

Matamshi

ajari

/aʄari/