Ufafanuzi wa ajihi katika Kiswahili

ajihi

kitenzi elekezi

  • 1

    tembelea mtu anayeishi mbali.

    zuru, tembelea

Asili

Kar

Matamshi

ajihi

/aʄihi/