Ufafanuzi msingi wa ajinabi katika Kiswahili

: ajinabi1ajinabi2

ajinabi1

nominoPlural ajinabi

 • 1

  mtu wa nchi nyingine.

  mgeni

 • 2

  mtu wa kando asiyekuwa ndugu au mwenyeji.

  gharibu

Asili

Kar

Matamshi

ajinabi

/aʄinabi/

Ufafanuzi msingi wa ajinabi katika Kiswahili

: ajinabi1ajinabi2

ajinabi2

kivumishi

 • 1

  -geni

Asili

Kar

Matamshi

ajinabi

/aʄinabi/