Ufafanuzi wa ajira katika Kiswahili

ajira

nominoPlural ajira

  • 1

    kazi inayotolewa au inayofanywa kwa malipo katika kampuni, serikalini au kwa mtu binafsi.

Asili

Kar

Matamshi

ajira

/aʄira/