Ufafanuzi msingi wa ajizi katika Kiswahili

: ajizi1ajizi2

ajizi1

nominoPlural ajizi

  • 1

    uzito wa kufanya mambo.

    zohali, ugoigoi

Asili

Kar

Matamshi

ajizi

/aʄizi/

Ufafanuzi msingi wa ajizi katika Kiswahili

: ajizi1ajizi2

ajizi2

kivumishi

  • 1

    -enye ugoigoi; -enye uzembe.

Asili

Kar

Matamshi

ajizi

/aʄizi/