Ufafanuzi wa ajua katika Kiswahili

ajua

nominoPlural ajua

  • 1

    mchezo kama bao wa watu wawili unaochezwa kwenye kigogo kilichochimbuliwa vishimo katika safu mbili, ambavyo huingizwa gololi wakati wa kucheza.

Matamshi

ajua

/aʄuwa/