Ufafanuzi wa aka katika Kiswahili

aka

kitenzi elekezi

  • 1

    jenga kwa mawe, matofali na chokaa.

    tomea

  • 2

    zungusha uzio wa miti, miba, mawe, n.k..

Matamshi

aka

/aka/