Ufafanuzi wa aka! katika Kiswahili

aka!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha mshangao.

  • 2

    tamko la kukanusha.

Matamshi

aka!

/aka/