Ufafanuzi msingi wa akali katika Kiswahili

: akali1akali2

akali1

nominoPlural akali

  • 1

    idadi ndogo.

    uchache, uchechefu, uhaba, ukalili

Asili

Kar

Matamshi

akali

/akali/

Ufafanuzi msingi wa akali katika Kiswahili

: akali1akali2

akali2

kielezi

  • 1

    kwa uchache.

    ‘Kwa akali , kazi hii itahitaji watu watatu’

Asili

Kar

Matamshi

akali

/akali/