Ufafanuzi wa akaunti katika Kiswahili

akaunti

nominoPlural akaunti

  • 1

    utaratibu unaokuwapo baina ya benki na mteja unaomwezesha mteja kuhifadhi na kuchukua fedha zake.

    ‘Aliweka fedha katika akaunti ya shule’

  • 2

    kitambulisho katika matumizi ya mtandao wa intaneti au wa simu ya mkononi.

Asili

Kng

Matamshi

akaunti

/akawunti/