Ufafanuzi wa akia katika Kiswahili

akia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    tia chakula kinywani upesi na kukimeza bila ya kukitafuna.

    bwakia, bugia, bwia

Matamshi

akia

/akija/