Ufafanuzi wa akiba katika Kiswahili

akiba

nominoPlural akiba

 • 1

  kitu kilichotengwa kwa ajili ya manufaa ya baadaye.

  ‘Weka akiba’
  ‘Jeshi la akiba’
  ‘Benki ya akiba’
  fundo

Asili

Kar

Matamshi

akiba

/akiba/