Ufafanuzi msingi wa akidi katika Kiswahili

: akidi1akidi2akidi3

akidi1 , akdi

nomino

 • 1

  ufungaji wa ndoa.

  nikaha

Asili

Kar

Ufafanuzi msingi wa akidi katika Kiswahili

: akidi1akidi2akidi3

akidi2

kitenzi elekezi

 • 1

  tosha

 • 2

  ghushi

 • 3

  maliza, kamilisha, hitimisha

Asili

Kar

Matamshi

akidi

/akidi/

Ufafanuzi msingi wa akidi katika Kiswahili

: akidi1akidi2akidi3

akidi3

nomino

 • 1

  wingi wa watu wanaohitajiwa ili mkutano au uamuzi uweze kufanyika.

Asili

Kar

Matamshi

akidi

/akidi/