Ufafanuzi msingi wa akifisha katika Kiswahili

: akifisha1akifisha2

akifisha1

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

  • 1

    kataza mtu asifanye jambo.

    komesha

Asili

Kar

Matamshi

akifisha

/akifi∫a/

Ufafanuzi msingi wa akifisha katika Kiswahili

: akifisha1akifisha2

akifisha2

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~ika, ~wa

Sarufi
  • 1

    Sarufi
    tia au weka alama za uandishi k.v. koma, kituo, kuuliza, mshangao, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

akifisha

/akifi∫a/