Ufafanuzi wa akili katika Kiswahili

akili

nominoPlural akili

 • 1

  uwezo wa kuelewa na kujifunza mambo.

  ujanja, fahamu, hekima, lubu, werevu, bongo

 • 2

  uwezo wa kufikiri na kuamua kwa busara.

  methali ‘Akili ni nywele, kila mtu ana zake’
  methali ‘Akili ni mali’
  methali ‘Akili nyingi huondoa maarifa’

Asili

Kar

Matamshi

akili

/akili/