Ufafanuzi msingi wa akrabu katika Kiswahili

: akrabu1akrabu2

akrabu1

nominoPlural akrabu

 • 1

  mkono wa saa.

 • 2

  mkono wa mizani.

 • 3

  upande mmojawapo wa pande za dira.

  ‘Akrabu Magharibi’
  ‘Akrabu Mashariki’
  ‘Akrabu Matlai’

Asili

Kar

Matamshi

akrabu

/akrabu/

Ufafanuzi msingi wa akrabu katika Kiswahili

: akrabu1akrabu2

akrabu2

nominoPlural akrabu

 • 1

  alama ya nge katika mfumo wa nyota.

Asili

Kar

Matamshi

akrabu

/akrabu/