Ufafanuzi wa akronimu katika Kiswahili

akronimu

nominoPlural akronimu

  • 1

    neno linaloundwa kutokana na herufi za mwanzo za majina k.m. TATAKI ni Taasisi ya Taaluma za Kiswahili.

Asili

Kng

Matamshi

akronimu

/akronimu/