Ufafanuzi wa akselereta katika Kiswahili

akselereta, ekselereta

nominoPlural akselereta

  • 1

    kifaa maalumu katika gari cha kuongezea kasi.

    kichapuzi

Asili

Kng

Matamshi

akselereta

/aksɛlɛrɛta/