Ufafanuzi msingi wa ala katika Kiswahili

: ala1ala2

ala1

nominoPlural ala

 • 1

  mfuko, agh. wa ngozi, ambamo kisu au upanga huhifadhiwa.

  ‘Ala ya kisu’
  ‘Ala ya upanga’
  uo

Asili

Kar

Matamshi

ala

/ala/

Ufafanuzi msingi wa ala katika Kiswahili

: ala1ala2

ala2

nominoPlural ala

 • 1

  zana ya kufanyia kazi.

  ‘Ala za seremala’
  ‘Ala za muziki’
  ‘Ala za vita’
  ‘Ala za sauti’
  chombo

Asili

Kar

Matamshi

ala

/ala/