Ufafanuzi wa alama ya dukuduku katika Kiswahili

alama ya dukuduku

  • 1

    alama katika maandishi (...) inayoashiria taharuki, msomaji ajalize mwenyewe au neno au maneno yameachwa, n.k..