Ufafanuzi wa alamisha katika Kiswahili

alamisha

kitenzi elekezi

  • 1

    tia alama; tia mchoro unaoonyesha kitu au ishara fulani.

Matamshi

alamisha

/alamiāˆ«a/