Ufafanuzi wa alasauti tuli katika Kiswahili

alasauti tuli

  • 1

    alasauti ambazo hazina uwezo wa kujongea wakati wa utamkaji wa sauti za lugha k.v. ufizi na kaakaa.