Ufafanuzi msingi wa alasiri katika Kiswahili

: alasiri1Alasiri2

alasiri1

nomino

  • 1

    wakati kati ya saa tisa mchana na magharibi.

Asili

Kar

Matamshi

alasiri

/alasiri/

Ufafanuzi msingi wa alasiri katika Kiswahili

: alasiri1Alasiri2

Alasiri2 , laasiri

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    sala inayosaliwa na Waislamu, agh. baina ya saa tisa na nusu au kumi na magharibi.

Asili

Kar

Matamshi

Alasiri

/alasiri/