Ufafanuzi wa albamu katika Kiswahili

albamu

nominoPlural albamu

  • 1

    kitu mfano wa kitabu cha kuhifadhia picha.

  • 2

    mkusanyiko wa nyimbo za muziki wa mwimbaji mmoja au zaidi zilizohifadhiwa kwenye sahani ya santuri, sidii, n.k..

    ‘Saida Karoli ametoa albamu yake iitwayo ‘Mapenzi kizunguzungu’’

Asili

Kng

Matamshi

albamu

/albamu/