Ufafanuzi wa alhamdulillahi! katika Kiswahili

alhamdulillahi!

kiingizi

Kidini
  • 1

    Kidini
    (hutumika kuonyesha shukurani au furaha mtu anapopata zawadi, cheo, neema au kufikwa na msiba au huzuni) sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu tu.

Asili

Kar

Matamshi

alhamdulillahi!

/alhamdulil lahi/