Ufafanuzi msingi wa alia katika Kiswahili

: alia1alia2

alia1

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha, ~lika, ~lisha

  • 1

    fanya alama mwilini, agh. kwa kupiga fimbo.

Ufafanuzi msingi wa alia katika Kiswahili

: alia1alia2

alia2

kitenzi sielekezi~ka, ~lia, ~sha, ~lika, ~lisha

  • 1

    kausha samaki kwa kutumia moto au jua.

  • 2

    panga samaki katika kijungu juu ya nyalio.

Matamshi

alia

/alija/