Ufafanuzi msingi wa alifu katika Kiswahili

: alifu1alifu2

alifu1

nominoPlural alifu

  • 1

    herufi ya kwanza katika abjadi ya Kiarabu.

Asili

Kar

Matamshi

alifu

/alifu/

Ufafanuzi msingi wa alifu katika Kiswahili

: alifu1alifu2

alifu2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

kishairi
  • 1

    kishairi tunga au andika kitabu.

Asili

Kar

Matamshi

alifu

/alifu/