Ufafanuzi msingi wa alisha katika Kiswahili

: alisha1alisha2

alisha1

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya sauti kwa kishindo.

Matamshi

alisha

/ali∫a/

Ufafanuzi msingi wa alisha katika Kiswahili

: alisha1alisha2

alisha2

kitenzi elekezi

  • 1

    tia ufa.

Matamshi

alisha

/ali∫a/