Ufafanuzi wa Allahuma! katika Kiswahili

Allahuma!

kiingizi

  • 1

    Kidini
    neno linalotumika kumwomba Mwenyezi Mungu dua.

  • 2

    Ewe Mola!.

Asili

Kar

Matamshi

Allahuma!

/allahuma/