Ufafanuzi wa alomofu katika Kiswahili

alomofu

nominoPlural alomofu

  • 1

    Sarufi
    umbo jingine la mofimu ileile.

  • 2

    aina mbalimbali za mofimu moja.

Asili

Kng

Matamshi

alomofu

/alɔmɔfu/