Ufafanuzi wa altare katika Kiswahili

altare

nomino

Kidini
 • 1

  Kidini
  meza ya kutolea sadaka ya misa kanisani.

  madhabahu

 • 2

  Kidini
  meza maalumu ya kuadhimisha Ekaristi.

Asili

Kng

Matamshi

altare

/altarÉ›/