Ufafanuzi wa alumini katika Kiswahili

alumini, aluminiamu

nominoPlural alumini

  • 1

    aina ya metali ambayo hutumiwa kutengenezea vifaa mbalimbali k.v. sufuria, mabati, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

alumini

/alumini/