Ufafanuzi wa Amagedoni katika Kiswahili

Amagedoni

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    vita vya mwisho baina ya wema na uovu kabla ya siku ya mwisho kulingana na Biblia.

Asili

Kng

Matamshi

Amagedoni

/amagɛdɔni/