Ufafanuzi msingi wa amana katika Kiswahili

: amana1amana2

amana1

nominoPlural amana

 • 1

  kitu anachopewa mtu kukihifadhi na kukirejesha kwa mwenyewe atakapokitaka au kukipeleka kwa mwingine anayehusika.

  ‘Weka amana’
  ‘Peleka amana’

Asili

Kar

Matamshi

amana

/amana/

Ufafanuzi msingi wa amana katika Kiswahili

: amana1amana2

amana2

nominoPlural amana

 • 1

  kitu cha thamani kubwa.

  ‘Kituo cha utamaduni ni amana kwa taifa’

Asili

Kar

Matamshi

amana

/amana/