Ufafanuzi wa amani katika Kiswahili

amani

nominoPlural amani

  • 1

    hali ya salama isiyokuwa na ghasia au fujo au vita.

    utulivu, usalama

Asili

Kar

Matamshi

amani

/amani/