Ufafanuzi wa ambaa katika Kiswahili

ambaa

kitenzi elekezi

  • 1

    pita kandokando bila ya kugusa.

    ‘Niliambaa ukuta mpaka nikafika’

  • 2

    kaa mbali na kitu au mtu.

Matamshi

ambaa

/amba:/