Ufafanuzi wa ambatisha katika Kiswahili

ambatisha

kitenzi elekezi

  • 1

    ongeza au bandika kitu cha ziada kwenye kitu kingine.

Matamshi

ambatisha

/ambatiāˆ«a/