Ufafanuzi wa ambika katika Kiswahili

ambika

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~wa

 • 1

  tengeneza mtego wa samaki kwa kutumia mabua au nyavu au wando au uzio katika maji mafu; tega tando kwa kukita mazio.

 • 2

  weka chambo katika mshipi wa kuvulia.

 • 3

  tia majini.

  ‘Watu wanaambika mtama wa togwa’
  bambika, loweka

Matamshi

ambika

/ambika/