Ufafanuzi wa ambukiza katika Kiswahili

ambukiza

kitenzi elekezi

  • 1

    eneza ugonjwa au kitu kibaya.

    ‘Ugonjwa wa kuambukiza’

  • 2

    athiri tabia ya mtu.

Matamshi

ambukiza

/ambukiza/