Ufafanuzi wa ambulensi katika Kiswahili

ambulensi

nomino

  • 1

    gari maalumu la kubebea wagonjwa.

Asili

Kng

Matamshi

ambulensi

/ambulɛnsi/