Ufafanuzi wa Amekuja kidari mbele katika Kiswahili

Amekuja kidari mbele

msemo

  • 1

    amekuja akitaka kupigana au kufanya ugomvi.